Research Repository

Ulinganishi wa mofolojia na sintaksia baina ya lugha 19 za Kibantu za Afrika Mashariki [A morphological and syntactic comparison of 19 East African Bantu languages]

Gibson, Hannah and Mapunda, Gastor and Marten, Lutz and Taji, Julius (2020) 'Ulinganishi wa mofolojia na sintaksia baina ya lugha 19 za Kibantu za Afrika Mashariki [A morphological and syntactic comparison of 19 East African Bantu languages].' Kiswahili, 82 (2019). pp. 1-13. ISSN 0856-048X

[img]
Preview
Text
Gibson et al Kiswahili - Ulinganishi wa mofolojia na sintaksia baina ya lugha 19 za Kibantu za Afrika Mashariki.pdf - Accepted Version

Download (8MB) | Preview

Abstract

Katika makala hii tumewasilisha matokeo ya utafiti wetu kuhusu lugha 19 za Kibantu za Afrika Mashariki. Tumeonesha kwamba kuna makundi makuu matatu ambayo yanafanana kiasi cha asilimia 70 au zaidi. Makundi haya yanajikuta katika maeneo mbalimbali ya eneo la utafiti wetu. Kuna kundi la kaskazini, la kati, na la kusini. Tumetumia mbinu maalumu ya kulinganisha mofolojia na sintaksia za lugha hizi, ambayo inatumia vigezo 142 kuelezea kiwango cha ufanano kati yao. Matokeo ya utafiti huu yanaonesha kwamba kuna tofauti kubwa baina ya lugha hizi. Kiwango cha ufanano baina lugha hizi ni kati ya asimilia 45 (yaani uhusiano baina Kikuyu na Kisena) na 80 (baina Kiwabo na Kimakhuwa). Ili kufahamu kwamba kuna makundi maalumu miongoni mwa lugha hizi, tumegawanya lugha ambazo ufanano wao ni chini ya asimilia 70 na zile ambazo ufanano wao ni juu ya asimilia 70. Inawezekana kwamba uhusiano uliopo kati ya makundi haya unaonyesha uhusiano wao wa kihistoria.

Item Type: Article
Divisions: Faculty of Social Sciences
Faculty of Social Sciences > Language and Linguistics, Department of
SWORD Depositor: Elements
Depositing User: Elements
Date Deposited: 03 Aug 2021 14:00
Last Modified: 06 Jan 2022 14:10
URI: http://repository.essex.ac.uk/id/eprint/30800

Actions (login required)

View Item View Item